KIYOA PROFILE / IFAHAMU KIYOA

P.O. Box 36109, Tungi, Kigamboni, Dar es salaam, Tanzania
KAULI MBIU:- Umoja; Upendo na Maendeleo

Friday, March 14, 2014

MABORESHO YA MAKAZI YA KIGAMBONI




Makazi bora ni moja ya mahitaji muhimu ya binadamu katika kipindi cha uhai wake. Pichani juu ni sehemu tu ya baadhi ya maghorofa yanayoendelea  kujengwa ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya makazi bora na mji wa kisasa katika eneo la Mbutu Mwembe Mdogo Kigamboni, Dar es salaam.

 

Wednesday, February 5, 2014

LEO ZAMANI - KUMBUKUMBU YA KUZALIWA KIYOA (05 FEBRUARI 2005)


Pichani juu ni vijana wana-KIYOA wakikamilisha mkutano wa majadiliano juu ya namna watakavyoendesha shughuli za KIYOA. Kutoka kushoto ni Ndg. Shuma Mafuwe (Katibu), wanaofuatia ni wajumbe Ndg. Patricia Charles, Ndg. Prisca Kidugo, Ndg. Rose Ambali na Ndg. Anna Busumabu. Tukio hili lilikuwa tarehe 05 Februari 2005 siku ambayo KIYOA ilianzishwa rasmi.