KIYOA PROFILE / IFAHAMU KIYOA

P.O. Box 36109, Tungi, Kigamboni, Dar es salaam, Tanzania
KAULI MBIU:- Umoja; Upendo na Maendeleo

Wednesday, February 5, 2014

LEO ZAMANI - KUMBUKUMBU YA KUZALIWA KIYOA (05 FEBRUARI 2005)


Pichani juu ni vijana wana-KIYOA wakikamilisha mkutano wa majadiliano juu ya namna watakavyoendesha shughuli za KIYOA. Kutoka kushoto ni Ndg. Shuma Mafuwe (Katibu), wanaofuatia ni wajumbe Ndg. Patricia Charles, Ndg. Prisca Kidugo, Ndg. Rose Ambali na Ndg. Anna Busumabu. Tukio hili lilikuwa tarehe 05 Februari 2005 siku ambayo KIYOA ilianzishwa rasmi.