KIYOA PROFILE / IFAHAMU KIYOA

P.O. Box 36109, Tungi, Kigamboni, Dar es salaam, Tanzania
KAULI MBIU:- Umoja; Upendo na Maendeleo

Monday, January 28, 2013


    "Umoja; Upendo na Mshikamano ndiyo nguvu yetu".

 

Pichani juu baadhi ya WanaKIYOA (kuanzia kulia) ni Ndg. Godfrey Miunguzi; Ndg. Shuma Mafuwe; Ndg. Greyson Mwikola; Ndg. Gerald Msuya; Ndg. Jimmy Mayunga muda mfupi kabla ya kuanza rasmi kwa Mkutano Mkuu wa KIYOA

 

Pichani chini ni baadhi ya WanaKIYOA na maeneo ya ushiriki wao katika KIYOA



    Dada Itika Seme - MwanaKIYOA (Uhamasishaji)




    Dada  Ghat Francis - MwanaKIYOA (Fedha na Utawala)




 Dada Victoria Zakayo - MwanaKIYOA ( Shughuli za Kijamii)



   Kaka Godfrey Miunguzi - MwanaKIYOA (Utawala; Maadili na Miradi)


MATUKIO KATIKA PICHA MKUTANO MKUU WA KIYOA ULIOFANYIKA BARAKUDA BEACH TAREHE 26 JANUARI 2013

KUMBUKUMBU ZA MUTANO MKUU WA KIYOA

Wajumbe wakipata chakula cha mchana kabla ya kuingia awamu ya pili ya kumalizia Mkutano Mkuu wa KIYOA.




 Pichani juu ni wajumbe wakimalizia  kupata chakula cha mchana.

 

UCHAGUZI WA UONGOZI MPYA WA KIYOA KWA MWAKA 2013

 

Pichani chini ni Ndg. Gerald Msuya (kushoto) ambaye alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa kusimamia   uchaguzi wa viongozi wapya wa KIYOA. Kulia kwake ni msaidizi wake dada Judy Isomba akimsaidia kuhesabu kura.

 

Katika uchaguzi huo Ndg. Humphrey Msulwa alichaguliwa kuwa Mwenyekiti; Ndg. Godfrey Minguzi amekuwa Mwenyekiti Msaidizi; Nafasi ya Katibu imechukuliwa na Ndg. Shuma Mafuwe; Ndg. Jimmy Mayunga amekuwa Katibu Msaidizi. Mwisho, nafasi ya Mhasibu (Mweka Hazina) imechukuliwa na Ndg. Ghati  Francis Changarawe.


     



MKUTANO MKUU WA KIYOA WA MWAKA 2012 WAMALIZIKA

Pichani juu ni baadhi ya WanaKIYOA wakitawanyika baada ya majadiliano ya zaidi ya masaa matano yaliyowawezeha kupata maazimio ya msingi katika utekelezaji wa kazi za KIYOA.


MATUKIO KATIKA PICHA YA MKUTANO MKUU WA KIYOA ULIOFANYIKA BARAKUDA BEACH TAREHE 26 JANUARI 2013



WANAKIYOA WAKISUBIRI KUANZA MKUTANO