KIYOA PROFILE / IFAHAMU KIYOA

P.O. Box 36109, Tungi, Kigamboni, Dar es salaam, Tanzania
KAULI MBIU:- Umoja; Upendo na Maendeleo

Friday, December 7, 2012

Umoja; Upendo; na Mshikamano ni moja ya mambo muhimu katika jamii. Pichani  (juu na chini) ni baadhi ya Wana-Kiyoa wakiwa msibani wakiwafariji wafiwa. 

 


Thursday, December 6, 2012


KIGAMBONI YOUTH ASSOCIATION
(KIYOA)

 

Kigamboni Youth Association (KIYOA) ni kikundi cha vijana kinachojishirikisha na kuwaunganisha vijana pamoja katika shughuli mbalimbali za kiuchumi na Kijamii, Unapotokea katikati ya Jiji la Dar es salaam inakubidi uvuke bahari ya Hindi ili ufike  Ofisi za KIYOA ambazo zipo katika eneo la Tungi, Kigamboni Dar es salaam 







Pichani ni dada Sarah Thomas pamoja na Dada Itika Seme Vijana wa Kigamboni Youth Association wakimenya Viazi wakati wa shughuli za Kijamii.

 

Wana-KIYOA wakimsindikiza Mhe. Mbunge Dkt. Faustine Ndungulile kupata chakula.

 




Ng'ambo ya maji ya bahari ya Hindi, ni eneo la Kigamboni linavyoonekana kwa mbali. 


 

Mheshimiwa Mbunge wa Jimbo la Kigamboni Dkt. Faustin Ndungulile akipata chakula kilichaoandaliwa na vijana wa KIYOA alipotembelea Ofisi za KIYOA, Tungi Kigamboni Dar es salaam.