KIYOA PROFILE / IFAHAMU KIYOA

P.O. Box 36109, Tungi, Kigamboni, Dar es salaam, Tanzania
KAULI MBIU:- Umoja; Upendo na Maendeleo

Friday, December 7, 2012

Umoja; Upendo; na Mshikamano ni moja ya mambo muhimu katika jamii. Pichani  (juu na chini) ni baadhi ya Wana-Kiyoa wakiwa msibani wakiwafariji wafiwa. 

 


1 comment:

  1. Upendo, Umoja na Mshikamano ni vitu muhimu katika maisha ya kila siku. KIYOA mzingatie hayo.

    ReplyDelete